Welcome to Sullivan Provost Schools Official Website

School application and Registration Form

Sullivan Provost Boys Secondary School (yenye usajili namba S.4466) iliyoko Kibaha Pwani, inapenda kukujulisha kuwa tumeanza kuwaandikisha wanafunzi kwa ajili ya kujiunga na kidato cha kwanza (Form I) kwa mwaka wa masomo wa 2018. Pia shule imeandaa mafunzo ya awali (Pre-form one) yatakayoanzaTarehe 2/10/2017 mpaka tarehe 30/11/2017 kwa ada ya TZS150,000 tu kwa mwezi.

 

Latest News