Welcome to Sullivan Provost Schools Official Website

Information for Parents

Due to competition we have decided to release our application form as early as possible so that people can start to apply now. You can download the forms below:

 

Tumeanza kuandikisha wanafunzi wa kidato cha kwanza kwa mwaka 2015. Mitihani ya usaili itafanyika shuleni tarehe 27/09/2014 na 04/10/2014 (siku za Jumamosi) kuanzia saa 3.00 asubuhi.  Fomu zinapatikana shuleni pamoja na Msimbazi Centre duka no. 9, 12 na 21 kwa Tshs. 10,000 tu. click here for more…

Latest News