Welcome to Sullivan Provost Schools Official Website

Admission

Ndugu Mzazi/Mlezi wa Kijana wa Kiume anayemaliza Darasa la saba mwaka huu 2017

Sullivan Provost Boys Secondary School (yenye usajili namba S.4466) iliyoko Kibaha Pwani, inapenda kukujulisha kuwa tumeanza kuwaandikisha wanafunzi kwa ajili ya kujiunga na kidato cha kwanza (Form I) kwa mwaka wa masomo wa 2018. Pia shule imeandaa mafunzo ya awali (Pre-form one) yatakayoanzaTarehe 2/10/2017 mpaka tarehe 30/11/2017 kwa ada ya TZS150,000 tu kwa mwezi.
Shule ni ya Bweni na ni kwa ajili ya wavulana tu.

Kwa wanaotaka kuhamia

Pia tunazo nafasi za kuhamia kwa kidato cha Kwanza na cha Tatu (Form 1 & Form 3).


  • LETTER TO PARENTS (BARUA KWA WAZAZI)
  • SCHOOL APPLICATION AND REGISTRATION FORM 2017 (FOMU YA KUJIUNGA NA SHULE 2017)
  • Latest News